Kuna tovuti mbalimbali na program ambazo zinatoa utabiri wa mpira ili ziweze kupata watumiaji kwa haraka. Hata hivyo, nyingi kati ya hizi program hazifanyi kazi kwa kiitaalamu na kwa uchambuzi yakinifu. Ila zimejikita katika ushabiki na takwimu zisizoaminika.

Program bora kwa ajili ya michezo ya kubahatisha zinatakiwa ziwe zenye uwezo wa juu wa kutoa taarifa za moja kwa moja ambazo zipo sokoni. Zinatoa takwimu bora za mpira, na wakati mwingine hutoa vidokezo vya mtumiaji kuhusiana na mwenendo wa matokeo ya mechi, lakini kuna programuambazo huenda mbali Zaidi ya kutoa huduma za kawaida na zimekuwa ni msaada mkubwa kwa wabashiri wa michezo. Tunatoa hapa muhtasari wa program za kubashiri mpira na takwimu.

1. Overlyzer

Overlyzer imeteka soko sana. Ni program yenye nguvu kwa takwimu za mpira wa moja kwa moja, ni mapinduzi katika soko la ubashiri na hutoa rasilmali zote ili kumfanya mtumiaji awe mtaalamu wa kubashiri mpira yeye mwenyewe.

Program haitoi ndondoo za kubeti na utabiri, ila hutoa mwenendo wa moja kwa moja kutoka katika ligi 1,000 na mashindano mbalimbali. Hizi takwimu za moja kwa moja hubadilishwa na kuwa grafu kwa muda huo huo na kuonesha watumiaji mchezo unaendaje. Utaona moja kwa moja kama mchezo unachezwa kwa kujilinda au kushambulia. Na ni timu ipi inashambulia Zaidi na inauwezekano wa kushinda mchezo. Hii ni fursa ambayo inahitajika kutazamwa.

Ingawa kunaweza kuwa na michezo Zaidi ya 300 inayoendelea kwa muda mmoja mwisho wa wiki, mtumiaji hawezi kupoteza ufatiliaji maana kuna sehemu ya kuchuja. Uchaguzi wa mchezo unaweza kupangwa kutokana na awamu ya mchezo, matarajio ya kushinda au program endeshi yenyewe kwa kuangalia mambo kama ushambuliaji wa timu. Kwa mfano, unataka tu kuona mchezo ambao timu inawatu Zaidi au ina mashuti walau 20 kwenye lango la wapinzani? Kwa kutumia Overlyzer hii inawezekana kwa kubifya mara moja tu!. Watumiaji waliosajiliwa wanaweza kuhifadhi chujio lao na kuweza kulitumia muda wowote ili kuona mechi pekee ambazo zinaendana na vile huwa wanabeti.

Wakati huo huo, program hii ya mpira ina weza kuhifadhiwa katika vifaa mbalimbali. Overlyzer inaweza kupakuliwa bure kutoka kwenye Google Play Store au App Store na imekuwa ikichukuliwa kama program bora ya mpira kwenye iOs na Android tangu ilipozinduliwa. Usajili wake pi ni bure. Kwa kuongezea toleo la desktop linatoa mwonekano mzuri n ahata takwimu nyingi za soka na vipimo mubashara.

Program pia inatoa ofay a bure kwa ubashiri wa kabla ya mchezo. Ofa hii ya bure “Juu/Chini” huonesha uwezekano wa idadi ya magoli katika mchezo kutoka ligi 250. Hata hivyo, ni kipindi cha moja kwa moja ambacho unaweza kufikia kwa gharama za €19 kwa mwezi au €49 kwa miezi mitatu. Kwa kuzingatia msaada wa usimamizi wa kifedha na mfumo wa ubashiri wa moja kwa moja, karatasi moja tu ya kubashiri utakayoshinda itaweza kurudisha fedha zako zote, Overlyzer ni nzuri sana kwa wale wote waliomakini kwenye Kubashiri.

2. SofaScore

SofaScore ni moja kati ya program za kubashiri mubashara na hutoa matokeo na takwimu kwa Zaidi ya michezo 20 na ligi 5000 na mashindano. Mashabiki wa mpira wa online hufurahia pia program hii, Sofascore ilikuwa ni moja ya watoa huduma ya ubashiri kuweza kutoa huduma ya ubashiri wa mashindano ya mtandaoni.

SofaScore pia imewekwa kama moja ya program inayofanya uvumbuzi mkubwa, ambayo imekuwa ikiingiza vipengele ambavyo havikuwepo katika ushindani. Kwa mfano, sifa za mchezaji hutoa mtazamo mzuri wa ujuzi wa kila mchezaji na unaweza kuona kwa urahsi ubora na udhaifu wa kila mchezaji mchezaji upo wapi.

Kutoka na kuwa na muundo mzuri na program kuwa haraka sana, bila kusita tunaweza pendeleza hii program hii ya kubashiri mubashara. SofaScore huwafikia watumiaji halisi million 20 kwa mwezi, imekuwepo kwa takribani miaka kumi sasa, na program imepakuliwa takribani mara million 25. Hii program ni maarufu sana kwa mashabiki wa soka la Italia. Wafanyakazi 150 huhakikisha teknolojia hii inaendelea kuwepo hadi sasa.

3. LiveScore

Sio program nyingi zinazoweza kusema kuwa zimeingia na mkataba na watu maarufu kama mabalozi wa bidhaa. LiveScore, kampuni ya michezo ulimwenguni, iliweza kufanikisha kumpata Cristiano Ronaldo, mmoja wa nyota wakubwa soka, kama mtangazaji, ambayo iliongeza umaarufu wa program hii. Baada ya yote, CR7 pia alosema kwamba ataendelea kuitumia LiveScore kwa miaka mingi ili kuendelea kupata taarifa Zaidi.

LiveScore, pia ni mfadhili wa ligi ya uhispania lakini pia inaendesha kampuni mbili za kubet. LiveScore Bet na Virgin Bet. Watumiaji wa program watakuwa wanaweza kufurahia mkondo wa moja kwa moja pamoja na takwimu za kina kwa michezo inayofuata. UEFA na LiveScore wamesaini mkataba wa kurusha mubashara mechi zote 137 za ligi ya mabingwa. Hata hivyo, hii ni kwa wateja wote wa Ireland. Hata hivyo, mashabiki wa michezo wategemee watoaji wa huduma kubashiri moja kwa moja kutoa ushindani kwa makampuni kama DAZN.

4. FotMob

FotMob ni moja kati ya Program bora inayotoa mfumo wa kubashiri kwa muda husika, imepakuliwa Zaidi ya mara milion 10, na watumiaji wameupenda muundo wake ambao ni mwepesi nan a kuna takwimu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu michezo. Pia kuna habari maaalumu kuhusu michezo mikubwa, ambayo haitakiwi kufichwa kwenye vyombo vya habari.

 

Christer Nordvik alianzisha kampuni hii mwaka 2004, inaifanya FotMob kuwa ni program za zamani Zaidi. Mkao makuu ya kampuni hii yapo Bergen, Norway na kuna wafanyakazi 15 kuhakikisha mioyo ya mashabiki wa mpira inaenda kwa haraka. Tofauti na washindani wake, wanorwey hutegemea sana muundo wa kampuni ambao hata hivyo hauwezi kuugundua unapotumia program.

FotMob ni moja kati ya program maarufu inayotua mfumo wa kubashiri kwa wakati husika duniani kote na inawatumiaji wengi san asana kutoka Ulaya na Marekani.

5. BeSoccer

BeSoccer inaaidi “dunia yote ya mpira kiganjani” na kwa mara nyingi Imekuwa ikitimiza ahadi yake. Watumiaji hupokea taarifa kila dakika, ambazo zinaonekana zimeandaliwa vizuri pia huongeza thamani kwa upande wa maudhui.

 

Muundo wake upo vizuri na unaweza pata kwa haraka unacokitafuta bila kujali program inatoa vitu vingapi, unaweza kuchambua maudhui kadri upendavyo. Katika upande wa idara ya takwimu wamefanya kazi nzuri sana ukiwa na BeSoccer, kwasababu kuna Zaidi ya wachezaji million 6 kwenye hifadhidata.

BeSoccer imekuwa maarufu sana kwa mashabiki wa mpra wa Hispania, ambako watumiaji wengi wanaishi huko. Hata hivyo hii haishangazi, maana makao makuu ya kampuni yapo Uhispania. BeSoccer imetokea kwenye tovuti ya Resultados-futbol.com na sasa ni moja kati ya jamii kubwa za soka nchini humo.

Mwaka 2016, BeSoccer ilitunukiwa tuzo ya “Program Bora ya Mwaka 2016” kutoka Google na program ambayo imepakuliwa karibia mara million 20 kwa ujumla.

6. Futbol24

Futbol24, ni moja akati ya watoa huduma wakongwe ya kubashiri live, lakini unatakiwa ujichagulie kifurushi chako cha uanachama kwa bei ndogo, tofauti na hapo utakutana na matangazo mwnegi sana. Futbol24 ni maarufu kwanza kwa sababu tiketi za moja kwa moja ni za kuaminika na taarifa zinapatikana haraka. Hata hivyo, waumiaji wengi wanatoka Nijeria, japokuwa Italia ndio nyumbani kwa watumiaji wengi.

Tovuti hii inajisifu kwa kuwa na watembeleaji Zaidi ya million 10 kwa mwezi, na kuifianya kuwa moja ya watoa huduma wakubwa duniani.

7. Goal.com

Goal.com, ilianzishwa mwaka 2004 na ni moja kati ya tovuti kubwa za mpira duniani. Tovuti hii inapatikana katika lugha tofautitofauti 19 na hutoa habari kila baada ya dakika.

Program pia imepata umaarufu sana kwa mashabiki wa mpira, tangu mmiliki alipofungua mtandao mwaka 2011, DAZN aliianzisha miaka mitano baadae na baadhi ya vipande vidogo vya video vio kwenye program.

Kulikuwa na mabadiliko katika umiliki na sasa TPG Inc. ndio inayoongoza portal. Tovoti na program zote zimekwisha shida tuzo mbalimbalikama vile Drum Online Media Award.

Mashabiki wa mpira huifurahia program ambazo mtumiaji anaweza kuchagua data kitu ambacho ni kigumu kwa washindani wengine. Taarifa mbalimbali za kuhama na taarifa za kina kuhusu mechi pia ni sehemu muhimu katika dunia ya mpira.

8. 365Scores

Zaidi ya million 50 mashabiki wa mpira wanaiamini 365Scores, kitu ambacho kinaitengenezea nafasi katika ulimwengu wa kubashiri ikiwa na mwonekano mzuri pamoja na mipangilio. 365scores imeweka mkazo mkubwa kwenye umahiri wa utoaji wa taarifa za moja kwa moja na jambo la kufurahisha, matokeo huonehswa kabla hata magoli hayajafungwa.

 

Ukiachana na kasi kubwa, program [ia ni nzuri kwa mashabiki wa mipira yote ambao wanataka kufuatilia mashindano au timu Fulani. Kalenda pia ni nzuri sana kwani inaonekana vizuri tofauti na za washindani.

Program hii ni maarufu sana kwa mashabiki wa mpira waishio South America, haswa Brazil ambako 365Scores inaweza kuwepo katika kila simu ya mtu.

9. Forza Football

Forza Football hutoa kila kitu umbacho unatarajia kutoka kwenye program ya matokeo ya moja kwa moja (livescore app). Kampuni iliyoko nyuma ya program hii hupenda kusikiiza maoni ya watumiaji na mara nyingi hufanyika kazi mirejesho katika matoleo mapya. Utumiaji wa program hii ni mwepesi mno, muundo wako unaeleweka, wakisasa na rahisi. Program inatoa vipengele vya kawaida kama vile kitufe cha kupata taarifa, kuhifadhi timu au mashindano unayoyapenda na pia huvutia kwa kuonesha video zenye mambo muhimu kwa mechi ulizochagua.

 

Kampuni ipo katika mji wa Gothenburg, Uswis, na hutilia makini utofauti wa wafanyakazi wanapoajiri. Wafanyakazi wanasisitiza kuwa kuna mazingira mazuri ya kazi tofauti na kampuni zingine, Forza Football pia in msaada mzuri kama utakuwa na swali au tatizo katika program.

Kioengele kingine cha kipekee ni kwamba watumiaji wanaweza kubashiri matokeo ya michezo hata kupata nafasi ya kushinda zawadi kubwa.

10. OneFootball – Habari za mpira wa miguu

Program ya OneFootball, kama jina linavyoonesha inataka kuweka pamoja ofa kede wa kede kwa mashabiki wa mpira, ili kuifanya kuwa program pekee inayompa furaha mshabiki.

 

Ni kampuni iliyopo Berlin inayotoa tiketi mubashara pamoja na habari mbalimbali,hapo awali ilikuwa ikishirikiana na vyombo vya habari kama Sky na Mgenta. Kwa mfano, watumiaji wa OneFootball wanaweza kutazama mechi mubashara kwenye program kwa malipo ya Euro 2 mpaka 4. Ofa hii inajumuisha, kwa mfano ligi ya pili nay a tatu Ugerumani na Bundesliga ya wanawake.

Habari zinaweza kukuijia kulingana na upendeleo wako na mwonekano mzuri wa TV huifanya kuwa program yenye mafanikio. Unaweza kusema kwamba kazi kubwa imefanyika katika kuipanga na kuhuisha program hii.

11. Yahoo Sport

Yahoo Sport ni nzuri kwa wale ambao wanapenda michezo mingine mbali na Soka, kama vile mpira wa kikapu, tennis. Kutokana na kampuni kufikia maeneo mengi, pia imekuwa ikifanya mahojiano na wanariadha pendwa ambyo hauwezi kuyapata kwenye program nyingine yoyote.

 

Wataalamu wa soka kama Patrick Owomoyela wanahusika katika program hi, Makala pia huwa katika ubora wa hali ya juu.

Yahoo sports ilianzishwa mwaka 197 na ni maarufu sana huko Amerika ya Kaskazini. Mashabiki wa mpira wenye bahati wanatakiwa wawe na hii program katika simu zao, kwa maana Yahoo Aports hutoa ligi zake kwa ichezo mbalimbali kwa mara moja.

 

Soma makala hii kwa lugha nyingine:

أفضل 11 تطبيق إحصاءات مباشرة للمراهنات الرياضية
11-те Най-Добри Приложения за Статистика на Живо за Спортни Залагания
 
体育博彩之11个最佳实时统计类应用程序
 11 nejlepších aplikací se živými statistikami pro sportovní sázení
 Die 11 besten Live Statistik Apps für Sportwetten
 De 11 Bedste Apps til Live Statistik til Sportsvæddemål
 The 11 Best Live Statistics Apps for Sports Betting
 11 Parasta live-tilastosovellusta urheiluvedonlyöntiin
 Les 11 meilleures Apps de statistiques en direct pour les paris sportifs
 Οι 11 καλύτερες εφαρμογές ζωντανών στατιστικών για αθλητικά στοιχήματα
 11
सर्वश्रेष्ठ लाइव आंकड़े खेल सट्टेबाजी ऐप्स के लिए।
 11 Aplikasi Statistik Live yang Terbaik untuk Taruhan Olahraga
 Le 11 migliori app di statistiche dal vivo per le scommesse sportive
 
スポーツベッティングにおすすめなアプリ11
 스포츠 베팅을 위한 11가지 최고의 라이브 통계 앱
11 Apl Statistik Langsung Terbaik untuk Pertaruhan Sukan
 De 11 Beste Live Statistieken Apps voor Sportweddenschappen
 De 11 beste livestatistikkappene for sportsbetting
 11 najlepszych aplikacji ze statystykami na żywo w zakładach sportowych
 Os 11 melhores aplicativos de estatísticas ao vivo para apostas desportivas
 Cele mai bune 11 aplicații cu statistici live pentru pariuri sportive
 11 лучших приложений для ставок на спорт в режиме онлайн
 De 11 bästa apparna med live-statistik för sportspel
Las 11 mejores aplicaciones de estadísticas en directo para apuestas deportivas
 11 najboljih aplikacija za statistiku sportskog klađenja uživo
 11
แอปดูสถิติสดที่ดีที่สุดสำหรับพนันกีฬา
 Spor Bahisleri İçin En İyi 11 Canlı İstatistik Uygulaması
 11 найкращих додатків для ставок на спорт у режимі онлайн
 11 ứng dụng thống kê trực tuyến tốt nhất cho cá cược thể thao